mhanila

mhanila
KUMBUKA KAMA UNAONA PESA INAINGIA MIFUKONI UJUE IPO SIKU ITATAFUTA PAKUTOKEA

Sunday, August 5, 2012

Azam FC ndani ya zanzibar in Super 8

Kikosi cha Azam FC kimetua Zanzibar asubuhi hii kuanza michuano ya Super 8 ambapo leo usiku kitashuka dimbani kukwaana na Super Falcon. Kikosi cha Azam FC kilichotua Zanzibar ni

1 MWADINI ALLY MWADINI
2 WANDWI JACKSON WANDWI
3 ABDI KASSIM
4 ZAHOR PAZZI
5 GAUDENCE MWAIKIMBA
6 JABIR AZIZI
7 GEORGE ODHIAMBO
8 IBRAHIM CHIMWANGA
9 ABDULHALIM MOHAMED
10 ADULGHAN ABDALLAH
11 HIMID MKAMI
12 TCHETCHE KIPRE
13 MGAYA ABDUL (U20)
14 SAID MORAD
15 LUCKSON KAKOLAKI
16 OMARY MTAKI
17 WAZIR OMARY
18 SAHIM NUHU
19 JOSEPH KIMWAGA (U20)
20 KELVIN IDDI FRIDAY (U20)

Huku viongozi wa Benchi la ufundi wakiwa ni
1 VIVEK NAGUL (U-20 Coach)
2 KALI ONGALA (Caretaker and Ass Coach)
3 PABLO GOMEZ (Physio)
4 IDDI ABUBAKAR (GK Coach)
5 YUSUF DAVID NZAWIRA (Kit Manager)
am goodboy