Wiki hii wamekuja na utafiti wa ajabu. lakini utafiti wenye manufaa kwa wengi.
Watu wengi, sio wanawake wala wanaume huwa na
matatizo ya unyumba lakini hawasemi. Hujitangazia ushujaa wa urongo.
Utamsikia mtu akisema mimi? Wee...kube wapi Bure kabisa.
Lakini wanasayansi wa uingereza wamegundua
kwamba kuna njia rahisi na eti ya kuaminika bola mtu kutumia madawa ya
kusisimua ashiki.
Wanasayansi hao wa shirika la Retailer
Littlewoods wanasema siri ya ubingwa kitandani unategemea bed shiti au
mashuka ya vitandani.
Katika utafiti waliofanyia familia 2,000 za
uingereza, watafiti hao wamegundua kumbe bed-shiti au mashuka ya rangi
ya zambarau au purple ni kiboko yao.
Wanasema ukiongezea kwa kupaka kitanda chako au fanicha za bedroom rangi hiyo ya zambarau basi matokeo hua ya kuridhisha. Na
Utafiti huo unaonyesha kuwa waliotumia rangi
hiyo walifaulu kuonana kimwili wastani ya mara 4 katika wiki moja na
wale waliotumia ma bed shiti ya rangi nyegine matokeo ilikuwa ni
kujitahidi na kufaulu mara moja peke yake.
shirika hilo la Retailer Littlewoods la
uingereza linasema shuka hizo au bed-shiti hizo za rangi ya zambarau
zikiwa aina ya silk au hariri basi...we..we we....
am goodboy
Pages
Monday, September 10, 2012
MAPENZI NA MAGARI
Sijui ni wazimu au nikupagawa ?.
Lakini Edward Smith Washington Marekani anasema yeye ni Mzima na akili zake.
Edward Smith hana haja na mpenzi anayetembea kwa miguu miwili.
Mmarekani huyo anasema sio hata hana hisia , anazo tena nyingi. Lakini sio kwa binadamu.
Edward Smith ambaye ni mtunzi wa mashairi ana fanya mapenzi na gari, kufanya mapenzi kwa maana halisi ya kufanya mapenzi . Smith anasema akiwa na hamu hufanya na gari kama vile nissan, pudjo, mercidez benz na vitu kama hivyo, lakini sio mtu.
Shirika la habari la Reuters limeripoti kwamba kwa wakati huu Edward Smith anafanya mapenzi na gari lake jeupe la Volkswagen Beetle .
Usiniulize anafanya mapenzi vipi na magari. Mimi sijui.
Lakini Edward Smith amefichua kuwa mara ya kwanza kufanya mapenzi na gari alikuwa na umri wa miaka 15, tena gari la babake aina ya Range Rover.
Na kwa yale mahaba aliyonayo kwa mpenzi wake wa sasa Volkswagen Beetle ambaye ameeishi naye kwa miaka mitano,amelibandika kipenzi chake jina la Vanilla.
My sweet vannila wala sio my sweet Elizabeth.
My sweet Elizabeth kanda bongoman.am goodboy

PAPASA ZA MAKALIO
Nyie wapenzi wa soka hasa ligi ya primia mshaona hili.
Mchezaji tuseme wa Man U akicheza vizuri uwanjani utaona mchezaji mwenzake au hata kocha wake kama Sir Alex Furgeerson , akimpiga piga makalio...mimi nadhani ni ishara ya pongezi..well done..well done.
Lakini Afghanistani! Weeeee. Mwiko.
Wanajeshi wa marekani au uingereza wanaohudumu huko wamewahi kipigwa risasi kwa kuwapapasa au kumpiga piga tako mwanajeshi wa Afghanistan.
Sasa wizara ya ulinzi ya Afghan imeamua kutoa mafunzo maalum kwa wanajeshi wake kwamba kubalini kupapaswa makalio na wamarekani hizo kwao ni ishara za pongezi au salamu.
Mafunzo haya maalum yanenza baada ya visa vya wanajeshi wa Afghan kuwauwa wanajeshi wa marekani katika siku za hivi karibuni.
Msemaji wa Wizari ya Ulinzi wa Afghanistan Zahir Azimi amesema wanajeshi wote karibu laki mbili watapewa mafunzo ya kuwaelewa Wamarekani na kukubali salamu zao.
Mwaka huu peke yake wanajeshi wa Afghan wamewapiga risasi na kuwauwa walimu wao wa kimarekani 45. Kwa kumbe sababu ni hizo za kupigwa pigwa makalio eti ni pongezi.
Kwa Mafghanistan hakuna pongezi za hivyo.

Sunday, September 9, 2012
KAZI NI KAZI
Nani anataka kazi?
Sri lanka imetangaza kazi mbili na mshahara wake ni mnono ajabu.
Sri Lanka kwa haraka upesi inatafuta wanyongaji.
Watu wa kuwanyonga wafungwa 480 ambao wamehukumiwa kunyongwa kwa makosa mbali mbali katika nchi hiyo iliyo kusini mwa India.
Ikiwa inataka kazi ya kunyonga watu Sri Lanka tuma maombi yako sasa hivi. Shirika la Habari la Reuters linasema kwamba ijapo watu 176 tayari wameshahojiwa lakini zoezi la kutafuta mnyongaji mzuri bado linaendelea.
Kazi ni kazi ndio ujumbe wetu
@am goodboy

Thursday, September 6, 2012
Manchester City are capable of beating Real Madrid, claims De Gea
Premier
League champions Manchester City have the capabilities to beat Real
Madrid and Barcelona in the Champions League - and that's according to
Manchester United goalkeeper David De Gea!
Quite an admission from the Old Trafford stopper, but do you agree with him?Manchester United goalkeeper David de Gea has warned Real Madrid that they are in a for a tough time when they face English champions Manchester City in the Champions League group stages.
The former Atletico Madrid man is better
placed than most to give a verdict on the respective qualities of the
English and Spanish champions, and he believes that Jose Mourinho's men
will have to be on top of their game to match United's Manchester
rivals.
"City are a great team," he told Marca. "They are full of great players in all positions. The substitutes are also top-class.
"It will be really difficult for Real Madrid, both in the Bernabeu
and in Manchester. You don't get anything for free in the Champions
League."
The Spain international also claimed that the two teams
share a similar tactical philosophy, and expects this to make for some
tight encounters.
"City has a similar style to Real. It is quick to get the ball forward and looks to directly attack," he continued.
"The
strike-force is deadly, as the club has an incredible group of
strikers. But if you want to win the Champions League you've got to beat
the best teams, and City are one of them."
However, De Gea
claims that it is City's individuals, rather than their tactical set-up,
that makes them such a daunting opponent, and insists that they have
the means to challenge any team in this season's competition.
"It's not about whether the team's style of play will suit Real," he added.
"The
team is full of great players, who are very talented and can cause you
damage at any moment. They are capable of beating anyone, whether that's
Real Madrid or Barcelona."
The shot-stopper highlighted Spain's
David Silva as the man who makes City tick, but believes that Real
should be very wary of his fellow Atletico old boy, Sergio Aguero.
"David is a vital player for them. City is a different team without him; it doesn't play the same way," he continued.
"But
it's not just about Silva. Kun is always up for it and he'll be extra
motivated against Real. He's a great player and scores a lot of goals.
It's a joy to watch him play."
@am goodboy
TOP 10 MOST EXPENSIVE PLAYERZ
Top 10 Most Expensive
Transfers this Summer :
10. Zlatan Ibrahimovic | AC Milan to PSG | £16m
9. Santi Cazorla | Malaga to Arsenal | £16m
8. Javi Garcia | Benfica to Manchester City | £16m
7. Ezequiel Lavezzi | Napoli to PSG | £24m
6. Robin van Persie | Arsenal to Manchester United | £24m
5. Oscar | Internacional to Chelsea | £25m
4. Javi Martinez | Athletic Bilbao to Bayern Munich |
£32m
3. Eden Hazard | Lille to Chelsea | £32m
2. Luka Modric | Tottenham to Real Madrid | £33m
1. Thiago Silva | AC Milan to PSG | £34m
@ am goodboy

Sunday, August 5, 2012
Azam FC ndani ya zanzibar in Super 8
Kikosi
cha Azam FC kimetua Zanzibar asubuhi hii kuanza michuano ya Super 8
ambapo leo usiku kitashuka dimbani kukwaana na Super Falcon. Kikosi cha
Azam FC kilichotua Zanzibar ni
1 MWADINI ALLY MWADINI
2 WANDWI JACKSON WANDWI
3 ABDI KASSIM
4 ZAHOR PAZZI
5 GAUDENCE MWAIKIMBA
6 JABIR AZIZI
7 GEORGE ODHIAMBO
8 IBRAHIM CHIMWANGA
9 ABDULHALIM MOHAMED
10 ADULGHAN ABDALLAH
11 HIMID MKAMI
12 TCHETCHE KIPRE
13 MGAYA ABDUL (U20)
14 SAID MORAD
15 LUCKSON KAKOLAKI
16 OMARY MTAKI
17 WAZIR OMARY
18 SAHIM NUHU
19 JOSEPH KIMWAGA (U20)
20 KELVIN IDDI FRIDAY (U20)
Huku viongozi wa Benchi la ufundi wakiwa ni
1 VIVEK NAGUL (U-20 Coach)
2 KALI ONGALA (Caretaker and Ass Coach)
3 PABLO GOMEZ (Physio)
4 IDDI ABUBAKAR (GK Coach)
5 YUSUF DAVID NZAWIRA (Kit Manager)

Subscribe to:
Comments (Atom)