KILA LA HERI WEKUNDU WA MSIMBAZI
Baada ya ufunguzi wa michuano ya CECAFA Kagame Cup kuanza jana kwa mabingwa watetezi Yanga kucheza, leo ni zamu ya mabingwa wa Tanzania Simba Sports Club kutupa karata yao ya kwanza pale itakapomenyana na URA toka Uganda. Tunawatakia kila la heri Wekundu wa Msimbazi wakati wakipeperusha bendera ya Tanzania leo.
@am goodboy
No comments:
Post a Comment