Changamoto nyingine ni ujenzi wa miundombinu mipya ili usafiri huo wa treni uweze kuwanufaisha wasafiri wengi zaidi wanaokuja mjini kutoka maeneo ya Tegeta, Chanika, Pugu na kwingineko. Tunamtakia Waziri Mwakyembe kila la kheri katika kusimamia mradi huo muhimu.huuu usafiri ungetusaidia sana hasa sisi wakazi wa mbagala hata goms
Usafiri wa treni jijini utakuwa kimbilio la wengi
am goodboy
No comments:
Post a Comment