Machizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani/ udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani X2/
haijalishi
ulikua na wangapi bali wangapi uko nao..washkaji ambao... kosa lako lao
wakati hauna mafao/wanaokufikiria wewe muda ambao/ wenzao walionao
wanafikiria wengine ndo wanao/now
kupata washkaji ukiwa na pesa... ni rahisi/
kuwapata
na hauna kitu ujue umefanikiwa kichizi mie sikufichi sihitaji urafiki
na usupastaa/ukihit ndo unang'aa.. upishwe useat kwenye bar,upewe beat
na Jr../ kitu ambacho haikuwa rahisi kipindi fid ni
underground/sikuhizi mabinti wanaomiss ni walionidiss mie sio mdau/
wanakubali mie ni mkali wanataka kuijua Mmwanza
ninayoitangaza nikiwa safari kama habari za kwanza/
U-N-I-T na prof Ludi walionifunza kukaza...
kwetu mbali.. sijui lini nitarudi? (C) Lokua kanza/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea
Verse 2;
na usupastaa huwa ni feki.. utakung'arisha ukiwa na Market/
utakupatia senti,utapita juu ya red carpet/
utageuka
young & restless, utakupa wanawake/utakupa mafake brethrenz.. kisha
utaenda zake/kwahiyo power its not permanent.. huwa ipo kwa muda
tu/respect ur own conglomorete... fikiri kikubwa tu/masaa hayarudi nyuma
kama muda wa kufuturu walioukataa utumwa wanastuka hawana uhuru/
wanazusha najiskia.. so im my own best friend/
sikia fidq anamsifia fareed ni bandidu sio Yes man/
naweza nikakata ringi kiasi cha kutopay attention, lakini sio tajiri wakuafford kuua true friendship/
tuweke siasa kando sababu kichwa kinanigonga/na hizi falsafa double double ajabu sio kinywa cha mjomba/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea
VERSE 3
rafiki
wa kweli yukoje.. ni mkimya au anayechonga/yule aliyekupa jina?au
pengine anayekuponda? anayezuia usidondoke au anayesubiria
kukuokota?/au ni yule ambaye ukimuudhi anakutusi kabla hajaondoka?/
hakuna adui mbaya ka rafiki yako mwenyewe ambaye hajui.. ka yupo nawe..
au yupo kinyume na wewe/bora adui.. kama hachachawi utaenda muomba
akuelewe/
ka buibui.. naweka tandu mtaenda kando mzingue?/
kwani
machizi wenyewe wako wapi ambao wanastahiki niwape vyeo/ inabidi tu
uwaache wakuwatch kwenye kideo/unakula nao happy leo.. kesho wanamtaka
mkeo/urafiki sitaki.. hauletagi maendeleo../
nilitamani kuwa mjamaa niwe genge kama nature/
wachache niliowafanya wakang'aa wanayaweka maisha yangu in danger/
sihitaji marafiki, labda baadaye wakitokea/aje mmoja wa kuongea nae, na mwingine wa kumuongelea
@am goodboy
No comments:
Post a Comment