Thursday, July 12, 2012
Stickers kwenye daladala hizi hapa
===>Fare hazijaongezwa wewe ndiye umesota
===>Umekataa kona unakubali penati
===>Shimo la panya halizibwi kwa mkate
===>Supermarket hakuuzwi makaa
===>Kama mapenzi ni pesa kafunge ndoa na benki
===>Umeshindwa na penati utaeza kona
===>Usilaumu maiti kufa na mavuzi,tatizo hakujua atakufa lini
===>We nisubiri mi nakungoja
===>Nyuki hakumbatiwi
===>If you miss dere kiss conducto
===> jino moja mswaki wa nini?
===>Kuuliza so ujinga bali anayeuliza ndo mjinga
===> kama una haraka shuka ukimbie
@am goodboy
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment