mhanila

mhanila
KUMBUKA KAMA UNAONA PESA INAINGIA MIFUKONI UJUE IPO SIKU ITATAFUTA PAKUTOKEA

Saturday, July 21, 2012

MACHACHE KUHUSU MV SKAGIT



1989
Boti mbili zilitengenezwa zikiwa na thamani ya $5,000,000 
2006;
Serikali ya jimbo la Washington iliipiga marufuku hizo boti kufanya kazi ya usafirishaji kutokana na uchakavu
2006-2009
Boti zilikuwa zimetekelezwa tu pasipo kufanya kazi
2009
Boti zilipelekwa mnadani lakini ikashindikana kuuzwa licha ya bei ya kuanzia kuwa $300,000,wakati huo zinapelekwa mnadani boti zilikuwa na thamani ya $900,000.
2009
Hatimaye hizo boti zikapelekwa kwa Broker na broker kuziuza Tanzania na hizo boti kuanza safari za Dar-Znz
2011
Mjadala mkali ulianzishwa Jamii Forums na wachangiaji wengi kuonesha wazi kutokubaliana kabisa na ununuzi wa hizo boti chakavu
17/07/2012
Kwa mujibu wa taarifa ya Mamlaka ya Hali ya Hewa ilionesha katika siku hiyo na siku inayofata kutakuwa na machafuko baharini
18/07/2012
Licha ya taarifa ya uwepo wa machafuko baharini Boti ilianza safari kutoka Dar kwenda Zanzibar.............

PUMZIKA KWA AMANI WOTE WALIOTANGULIA MBELE YA HAKI KUTOKANA NA AJALI HII
POLE KWA MAJERUHI
POLE KWA WAHANGA WA AJALI HII
POLE KWA WATANZANIA WOTE. 
WE HAVE TO BE CALM THOUGH WE DO NOT LEARN THROUGH MISTAKES!
@am goodboy

1 comment: