Baada ya mmoja wa waanzilishi wa Facebook Chris Hughes ‘kuolewa
na mpenzi wake wa siku nyingi Sean
Eldridge huko New York City, Marekani, jumamosi iliyopita, mtandao huo maarufu
wa kijamii umeamua kuanzisha alama ya kuonesha status kwa wapenzi wa jinsia
moja.
am goodboy
Kwa kawaida wakati watu wanapobadilisha status kutoka
single, engaged ama it’s complicated na kwenda 'married' kulikuwa na kiicon cha
mwanaume akiwa na mwanamke kwenye timeline, lakini sasa hivi kuna alama
imeongezeka ya mwanamke akiwa na mwanamke ama mwanaume akiwa na mwanaume.
ukisema wanaume mumeumbwa mateso
kuwa kama hao uepuke matesoo
Facebook banaaaaa!
No comments:
Post a Comment