Leo michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati maarufu kama Kagame Cup inaanza rasmi huku utepe ukikatwa na bingwa mtetezi Yanga dhidi ya Atletico ya Burundi.katika michuano ya kagame ambayo imeanza kwa kukitimua kivumbi imewanzia vibaya yanga poleni sana wakiibuka kwa kichapooo
baada ya kuanza vibaya michuano ya Kagame kwa
kufungwa mabao 2-0 na Atletico ya Burundi
@am goodboy
No comments:
Post a Comment